Drunk at Fisi

  • warning: strpos() [function.strpos]: Offset not contained in string in /home/usambara/maweni.com/index.php(1) : eval()'d code on line 1.
  • warning: gzinflate() [function.gzinflate]: data error in /home/usambara/maweni.com/index.php(1) : eval()'d code on line 1.
|
Drunk at Fisi

Pombe kupita kiasi ni mbaya. Hebu angalia huyu mtu amepoteza fahamu na amelala bila yeye kujitambua katika Uwanja wa Fisi. Sisi tulijua ameshakufa na tulishindwa kumsaidia au kumshika kwa sababu tuliogopa tutashtakiwa baadaye. Kumbe, kesho yake tulisikia kwamba baada ya masaa kadhaa aliamka na kuweza kuondoka mwenyewe.